analiya disiwe
mume wake
ajali haina kinga
wala kafara


anaenda kijana
maladi inamushinda
ana aca bibi
na mutoto mudogo
mwanaume
analala kimya
like an angel


mbele ya kufunga maco
alimwambiya:
"bibi yangu unisamehe
ju sina mali
ya kukuaciya
mungu akulinde
like an angel"


mawa ju kijana ule
anaenda huruma
mawa oh ! maliyo !


sheria ya mungu mama
hayijulikane
ajali haina kinga
wala kafara :
"kwaheli
mpenzi wangu
wende salama
lala...like an angel
like an angel"

Composição: Khadja Nin