exibições de letras 17

Kilio Chetu

Fitzon Dai

It's about the time, kusimama ka simba pale jungle
Na sitawai go down, coz nahisi kuna nguvu za holy spirit zinaniinua juu
Na, najua nitafika, coz tayari meli ishangoa nanga
Na akuna kuzama hadi, niflight juu nifikie Obama
Na kaa unabiff si ungekuwa osama
Bt usijali, tunahisia tofauti
Ila ni mungu peke anayepanga na kupangua
Na sisi wanadamu tukipangiwa mazuri, wengine wanapagua
Inauma, bt lakini itabidi kuzoea tu (manze)
Fitzon dai am goner be stronger, na akuna atakaye nionga
Coz age ya explanation ilishadai, na mimi nadai kuchange career
Ndio wale wanijui, watashika doria vizuri
Na mafans msijali, hivo ndo safari hukua

Mungu, sikia kilio cha wakenya
Sikia kilio cha wasani
Sikia kilio cha mapastor
Mayatima, maskini, matajiri, wangonjwa
Wasikizee
Dunia nzima inakulilia
Wanadamu, wanyama pori, samaki, ndenge
Wadudu. Wote wanakutegemea na bila wewe atuwezi
Na wengi wao wamepoteza imani
Mungu uwalinde na.. Uwaongozee

Ni safari, bt kila binadamu ni mpita njia
Awe tajiri, awe maskini
Wote tuko sawa ukifuatilia, mungu anawaskiza pia wale wanao mlilia
Na usichoke kumuomba, ipo siku pia wewe atakupatia
Ukipanda milima na mabonde, bado anakutazamia
So wewe usijali (sijali), safari ni kuvumilia
Dunia ni tamu, bt kuna wanadamu wana aribu
Wanajifanya wanajenga, kumbe nyuma yao wana majitu za kubomoa
Mna bahati, kuna wanadamu wenye utu duniani
Wale wa kupita na kujione
Ni uchungu, lakini yote tunamwachia maulana
Na tuombe kwa sana, juu dalili zishaonekana
Jua kujilinda na ukawalinde wenzako pia
I dream, i used to glance beyond the stars
Bt sai nafahamu mahali nilipo ni mimi na mungu wangu
Coz 2021, ndio ile mwaka naisubiria (hio ipo manze)

Mungu, sikia kilio cha wakenya (waskizee)
Dunia nzima inakulilia
Wagonjwa, watoto wadogo wanakufa (inauma)
Sikia kilio chao (tunawapoteza manze)
Wanaume wanalia, waskizee
Dunia nzima inakulilia... (eeh manze)
Sikia kilio cha walimu
Madaktari, madereva, na viongozi
Wote wanakutegemea, coz they need you

Fitzon dai
Niskize
Endever cla$$ic

Show me records


Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Fitzon Dai e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500


Opções de seleção

Mais ouvidas de Fitzon Dai